Swae Lee Jnl
Member
- Feb 28, 2017
- 15
- 5
Kwani mpaka sasa ipo namba ngapi kwenye msimamo wa ligiKujiamini ni kufanya usajili?[emoji15]
Wanaofanya usajili hawajiamini
Uefa=3Kwani mpaka sasa ipo namba ngapi kwenye msimamo wa ligi
Madrid keshapigwa kimoja kinamuhangaisha kukichomoa!Uefa=3
Harry Kane keshafanya yake tayar.Madrid keshapigwa kimoja kinamuhangaisha kukichomoa!
Chezea Totenham weye!?
channel gani wanaonyeshaHarry Kane keshafanya yake tayar.
Ni champions league atua ya makundi hiyo mkuu labda angalia kupitia supersportchannel gani wanaonyesha
Duu kifurushi changu cha bomba siwezi ona MkuuNi champions league atua ya makundi hiyo mkuu labda angalia kupitia supersport