Tottenham yaachia tamaa ya Coutinho huku Danny Welbeck akisajiliwa na Watford bureeeee...

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
93
Reaction score
238
Dirisha la uhamisho la majira ya kiangazi litafungwa Alhamisi.

Je unadhani ni klabu ipi imejizatiti kabisa kusajili wachezaji bora zaidi ?
 

Attachments

  • IMG_20190807_175257.JPG
    45.1 KB · Views: 20
KIUKWELI TUSUBIRI LIGI IANZE TUJUE NANI KAOPOA AU NANI KAZINGUA?
 
nimeona taarifa jioni hii cout katua arsenal, sijui ni kweli au dramaaa
 
Barcelona hapo ndio huwa nashindwa kuwaelewa. Angalia Coutinho sasa wanachomfanya. Pia Malcom waliwafanyia figisu wenzao lakini wameishamuuza tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…