Touareg petrol

Touareg petrol

hanti

Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
83
Reaction score
10
Habari wakuu,
Samahani, nahitaji kununua touareg ya petrol naomba msaada kwa wenye uzoefu nazo kujua uimara wake, upatikanaji wa spare, utengenezaji wake, uwepo wa mafundi na mengine mengi yanayohusu hizo gari. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Nunua tu mkuu.kila kitu kinawezekana Kama pesa ipo. Kinachotofautisha vw na brand Kama gar Kama Fortuner ni gharama za spare na service ambacho nahisi umejiandaa.mafundi wa umeme wazuri hali kadhalika wapo.ni pesa tu ndo ina make the difference.
 
Asante mkuu kwa mawazo yako
 
Back
Top Bottom