Ndio ni volkswagenVolkswagen?????
Asante mkuu kwa mawazo yakoNunua tu mkuu.kila kitu kinawezekana Kama pesa ipo. Kinachotofautisha vw na brand Kama gar Kama Fortuner ni gharama za spare na service ambacho nahisi umejiandaa.mafundi wa umeme wazuri hali kadhalika wapo.ni pesa tu ndo ina make the difference.
Kama mpunga upo ,nunua tu,kuhusu uimara, yes ni imara.Kitu cha Ujerumani.Kuhusu Spare,utapohitaji si unaagiza tu onlineNdio ni volkswagen