Toubaaa akina mama mnatuibia jamani, punguzeni mnatumaliza!

Pole ya nini sasa ??
Huoni taifa limeongeza nguvu kazi ??

Mambo Malcom, habari za siku? Sikukuu yako imeendaje? Vipi maandalizi ya kuupokea mwaka mpya?

Hivii, najiuliza tuu ni wewe au huyu ni mwingine? Kuna ML nilikuwa namsoma kitambo alikuwa anabishana sana na Ngabu kwenye mada tofauti tofauti tuu. Nilikuwa napenda kusoma mijadala yao kimya kimya. ....ila kama yule ndo wewe siku hizi naona unabadili sana avatar. Si kuwa nakufatilia ila kila nikuonapo naona new avatar haina shida nimejikuta tuu nime notice hivo.

Back to the topic, wewe haikuumi kuzaliwa mwana si wako na unamlea ilhali hujui kama ni wako 100%? Achilia mbali kujaribu kujifananisha nae macho au pia au vidole au rangi ya ngozi..... hehehehe

Kasie Matata Mchokozi
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] Shida kwa hiki kizazi.
 
Nape daughter mazishi ya ki-Islam, unazikwa kwa jina la mama yako.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] Ndio maana panya road wengi, kizazi hiki kwa sababu, watoto wengi ni wa haramu.
 
maisha ya siku hizi hata kama umeshaoa na huyo mtoto ni wa 33 kampime DNA!!
 
Taifa limeongezeka kwa kubambikiana watoto dhambi kweli!
Kubambikiwa ni kosa la wazazi siyo watoto.
Mungu aliyewaleta ana mipango nao mizuri tu.
Nguvu kazi ya taifa imeongezeka kwasababu huwezi jua kati ya hao watoto kuna nani wa baadae.
 
Salama kabis Kasie.
Mimi nikibambikiwa mtoto ntaumia.
Japo kuumia kwangu hakutabadili ukweli kwamba taifa limepata nguvu kazi mpya.
 
Na mitoto ya siku izi sasa, hata kama siwako, atafundishwa kuongea kama ww, kutembea kama wew, mwisho wa siku unalegeaa unabakii huyuu wangu huyu, huoni anatembea kama baba yake.tabia za baba yake kabisa hizii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…