Tough Love: Mjue buibui anaejitoa maisha yake baada ya kusex.

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Fishing spiders ni moja ya jamii ya buibui wakubwa wenye miguu nane. Buibui hawa mara nyingi wanaishi maeneo yenye vyanzo vyanzo vya maji na chakula chao pendwa ni samaki wadogo na wadudu waishio majini.

UNAAMBIWA buibui dume huwa na mahusiano na jike moja tu maisha yao yote. Na pale wanapokutana kufanya sex na dume kumwaga basi hapo ndio inakuwa mwisho wa maisha yake na hatimae anampa wasaa mama watoto kumfanya jamaa maakuli. Masikini buibui wa watu.

Spider.jpg
 
Picha tafadhali
 
Sentensi yako ya mwisho mimi mbavu zangu hoi kucheka[emoji23][emoji38][emoji16][emoji28]
 
Back
Top Bottom