Tour ya Nairobi International Agriculture Show - 27 Septemba, 2023

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Maonyesho ya Kilimo ya Kimataifa ya Nairobi ni maonyeeho makubwa mno na ya quality sana, ni sawa na ilivyo sababa saba sasa ile Sababa saba iwe ni ya Kilimo tu pata picha.

Mkulima ni bora ukajichanga ukavisit haya maonyesho ya kilimo Makubwa kwa ukanda wa East and Centra Africa kule kuna mambo mengi ya kujifunza na kutengeneza network ya Biashara za Kilimo.

Ni Trip ya Go and ruturn to Arusha, kwa hio Wadau wana ondokeq Arusha na Usiku wanarudi Arusha. Nairobi to Arusha ni almost sawa na Morogoro to Dar.

Kafungue macho, hutajutia kamwe hio safari.

Kutokea Arusha kwenda na kurudi ni around Tsh 60,000\ go and return.
 
Tanzania imeanza kuratibu Maonesho ya Kilimo 8/8 yake yawe makubwa kama hayo ya Nairobi.

Taratibu tutafika tuu
 
Maonyesho ya Kilimo ya Kimataifa ya Nairobi ni maonyeeho makubwa mno na ya quality sana, ni sawa na ilivyo sababa saba sasa ile Sababa saba iwe ni ya Kilimo tu pata picha.

Mkulima ni bora ukajichanga ukavisit haya maonyesho ya kilimo Makubwa kwa ukanda wa East and Centra Africa kule kuna mambo mengi ya kujifunza na kutengeneza network ya Biashara za Kilimo.

Ni Trip ya Go and ruturn to Arusha, kwa hio Wadau wana ondokeq Arusha na Usiku wanarudi Arusha. Nairobi to Arusha ni almost sawa na Morogoro to Dar.

Kafungue macho, hutajutia kamwe hio safari.

Kutokea Arusha kwenda na kurudi ni around Tsh 60,000\ go and return.
contacts plse
 
Najua ya safari hii yashanipita. Mengine lini tena?
 
Back
Top Bottom