CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Tanzania imeanza kuratibu Maonesho ya Kilimo 8/8 yake yawe makubwa kama hayo ya Nairobi.Maonyesho ya Kilimo ya Kimataifa ya Nairobi ni maonyeeho makubwa mno na ya quality sana, ni sawa na ilivyo sababa saba sasa ile Sababa saba iwe ni ya Kilimo tu pata picha.
Mkulima ni bora ukajichanga ukavisit haya maonyesho ya kilimo Makubwa kwa ukanda wa East and Centra Africa kule kuna mambo mengi ya kujifunza na kutengeneza network ya Biashara za Kilimo.
Ni Trip ya Go and ruturn to Arusha, kwa hio Wadau wana ondokeq Arusha na Usiku wanarudi Arusha. Nairobi to Arusha ni almost sawa na Morogoro to Dar.
Kafungue macho, hutajutia kamwe hio safari.
Kutokea Arusha kwenda na kurudi ni around Tsh 60,000\ go and return.
contacts plseMaonyesho ya Kilimo ya Kimataifa ya Nairobi ni maonyeeho makubwa mno na ya quality sana, ni sawa na ilivyo sababa saba sasa ile Sababa saba iwe ni ya Kilimo tu pata picha.
Mkulima ni bora ukajichanga ukavisit haya maonyesho ya kilimo Makubwa kwa ukanda wa East and Centra Africa kule kuna mambo mengi ya kujifunza na kutengeneza network ya Biashara za Kilimo.
Ni Trip ya Go and ruturn to Arusha, kwa hio Wadau wana ondokeq Arusha na Usiku wanarudi Arusha. Nairobi to Arusha ni almost sawa na Morogoro to Dar.
Kafungue macho, hutajutia kamwe hio safari.
Kutokea Arusha kwenda na kurudi ni around Tsh 60,000\ go and return.
Sept 25 hadi October 3Hufanyika lini?
Najua ya safari hii yashanipita. Mengine lini tena?Maonyesho ya Kilimo ya Kimataifa ya Nairobi ni maonyeeho makubwa mno na ya quality sana, ni sawa na ilivyo sababa saba sasa ile Sababa saba iwe ni ya Kilimo tu pata picha.
Mkulima ni bora ukajichanga ukavisit haya maonyesho ya kilimo Makubwa kwa ukanda wa East and Centra Africa kule kuna mambo mengi ya kujifunza na kutengeneza network ya Biashara za Kilimo.
Ni Trip ya Go and ruturn to Arusha, kwa hio Wadau wana ondokeq Arusha na Usiku wanarudi Arusha. Nairobi to Arusha ni almost sawa na Morogoro to Dar.
Kafungue macho, hutajutia kamwe hio safari.
Kutokea Arusha kwenda na kurudi ni around Tsh 60,000\ go and return.
Ni kweli, lakini kuhudhuria ya wengine kutakuongezea exposure.Tanzania tuna Nanenane.