Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,437
- 4,618
Wanyekuelelwa naomba kujuzwa hili.
Unapopita Mtaa wa Toure Drive ukitokea Mijini utakutana na mabango mengi mno yanatangaza huduma zinazotolewa na Benki ambayo haikitajwa katika mabango hayo.
Nimeshinndwa kabisa kuelewa lengo la haya matangazo, Sijui mhusika ana lengo gani, kwa wenye uelewa kidogo au walishakutana na haya mabango wakaelewa naombeni msaada wenu kwasababu nimevutiwa na bidhaa zao lakini sijui ni benki gani?