Toure drive - barabara ya fukwe za Coco Beach: Mabango ya matangazo ya huduma za kibenki

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,437
Reaction score
4,618
Wanyekuelelwa naomba kujuzwa hili.

Unapopita Mtaa wa Toure Drive ukitokea Mijini utakutana na mabango mengi mno yanatangaza huduma zinazotolewa na Benki ambayo haikitajwa katika mabango hayo.

Nimeshinndwa kabisa kuelewa lengo la haya matangazo, Sijui mhusika ana lengo gani, kwa wenye uelewa kidogo au walishakutana na haya mabango wakaelewa naombeni msaada wenu kwasababu nimevutiwa na bidhaa zao lakini sijui ni benki gani?
 
Freemasons hao subiria utaliwa kichwa hivihivi...
Hahaaaa kidding [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
hiyo tekiniki inaitwa CREATIVE CORPORATE BRANDING. bank yenyewe ni benki M
 
Unawaulizia wenye uwelewa Mdogo waliolewa hayo mabango [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja waje
 
Hiyo bank jina lake ni 'Bank M' ukipita soma vizuri utaona.
 
Hiyo bank jina lake ni 'Bank M' ukipita soma vizuri utaona.

Hakuna popote ilipoandikwa Bank "M" kabla ya matangazo haya kulikua na mabango ya Bank "M" ndio lakini mara hii hakuna popote palipoandikwa Bank M wala zile rangi zinazowakilisha Bank M hakuna its all yellow
 
Kama umeshindwa kuijua bank husika ujue haikuhusu, na pia wewe ni kilaza

Nakubali mimi ni kilza lakini ukilaza una kiwango. unaweza kuwa na kiwangu kikubwa kuliko mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…