Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 286
- 749
Utalii ni hotelier au?Ngugu zangu natafta kazi yeyeote ile napatikana ARUSHA. kuhusu ujuzi nina ujuzi wa mambo ya utalii na ningefurahi iwapo mkiniunganisha na kampuni moja wapo ya utalii na nipo tayari kufanya kazi kwenye idara yoyote ile ya utalii
ndio mkuu hotelier ni sehemu ya utaliiUtalii ni hotelier au?
Uko kona ipi? HK au resta? Uko mkoa ganndio mkuu hotelier ni sehemu ya utalii
arushaUko kona ipi? HK au resta? Uko mkoa gan
Ngoja waje wajuvi kutoa muongozoKwema wanajukwaa? napenda tutumie uzi huu kushare mambo mbali mbali yanayohusu utalii kama vile nafasi za kazi za utalii, mbinu na tecknolijia katika sector hii ili kuwezeshana na kubadilishana uzoefu, pamoja.