Tourism Promotion Strategy

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
776
Kuna wadau kadhaa ambao wanaji involve moja kwa mojo na promotion/marketing ya vivutio vya utalii Tanzania. Baadhi ni kama wafuatao.

1. TTB - Tanzania Tourists Board
2. TANAPA - Tanzania National Parks
3. NCAA - Ngorongoro Conservation Area Authority

Hakika natambua taasisi hizi tatu zina watumishi waliobobea katika maswala ya Conservation, Tourism as well as Marketing. Cha ajabu sioni utalii wa nchi hii ukikuwa. Takwimu zinaonyesha mwaka jana Kenya ilipata watalii 1.6, Uganda 1.2 na Rwanda laki 6, but the number of tourists visiting Tanzania has been stagnant for years and years (Laki 8)

Hawa mabwana najuwa wanasafiri sana kwenda nje ya nchi kila mara kwa lengo la kutangaza utalii ila cha ajabu hatuoni maendeleo. Currenty they are all in the UK inclusing the Minister for Tourism.

Mimi binafsi nimesafiri mara kadhaa na hawa mabwana kweli ukiangali strategy ya yao ya promotion utaona kabisa no one is serious ni kwamba wanasafiri tu kwa ajili ya maslahi yao.

Kama leo ningekuwa waziri ya Utalii ninge concentrate kufanya promotion na soko la Asia kama China, Malaysia, Indonesia, India na SA nchi kama Brazil. Kwa mwaka jana tu wachina milioni 70 wamesafiri na Kenyans waka win kama wachina laki moja. Tungeweza ku win 1% ya China outbound market tungepata 3.5 million tourists which is 4 times kwa namba ya sasa. HOW TO ABOUT IT ndiyo kazi sasa ya hizi taasisi kutengeza Manifesto.

Nawakilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…