Tours for Students/Everyone

Tours for Students/Everyone

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,188
Reaction score
6,244
Habari zenu wakuu, nimeamua kufanya business ya tours kwa wale wenye kutaka kutembea Zanzibar. Lengo hasa ni kuwa target wanafunzi wa shule mbali mbali Tanzania na kuwawezesha kuja Zanzibar kimatembezi. Kama wewe ni mwalimu au unahisi kuna shule wanataka kufanya safari ya kuja Zanzibar tafadhali nijuilishe ili niorganize kwa ajili yako/yao. Hata wanaunzi wa vyuoni pia wanakaribishwa. Package kwa ajili yao ina include ticket ya Go and Return from Dat to Znz (ferry ticket), pia Accomodation ya 4 nights katika hotel iliyopo stone town, Transportation from and to town, prison island trip, dolphin trip, north coast trip. Kama upo intrested tafadhali ni pm, au pia kama unaweza kutuunganisha na shule yoyote pia nitumie pm ili tujadili. Spread the word please
 
Ni vizuri ukaweka na gharama kabisa,safari yote kwa mtu mmoja itagharimu kiasi gan.
 
Ni vizuri ukaweka na gharama kabisa,safari yote kwa mtu mmoja itagharimu kiasi gan.

That really depends, kila watu wakiwa kidogo gharama inazidi. Atleast minimum ya wanafunzi 30 ambao kila kichwa atalipia 350,000 itainclude vitu vyote nlivovitaja hapo juu
 
Back
Top Bottom