Mpaka ukawa na uwezo wa kupata watalii,iweje wewe mwenyewe,ukose kuwa na wazo la kuwa na tours company yako.? Au wewe shida yako ni kupata commission tu.? Any way kila la heri.!Kama una kampuni ya tours ambayo ni serious na ina magari na unahitaji watalii naomba unitafute (pm please)
Mpaka ukawa na uwezo wa kupata watalii,iweje wewe mwenyewe,ukose kuwa na wazo la kuwa na tours company yako.? Au wewe shida yako ni kupata commission tu.? Any way kila la heri.!
Tours company inahitaji mtaji mkubwa. Kuwa na wazo haina mtaji
Kumbe una wazo,keep it up.!Tours company inahitaji mtaji mkubwa. Kuwa na wazo haina mtaji