DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Tangu jana Kuliporipotiwa Tukio la Paroko msaidizi kuhusika na Tukio la Kutekwa,Kuawa wka Binti Mrembo Asimwe(2) Kumekuwa na hisia tofauti juu ya wahusika hao Hususanai Mhusika wa Kwanza Ambaye ni abab yake pamoja na mtu aliyetajwa kwa jina la aElipidius Rwegoshora ambaye inadaiwa kuwa ni Paroko msaidizi wa parokia ya Bugandika Huko Bukoba Kagera
Wengi wanasema kwamba mtajwa hapo juu sio padre bali ni rafiki wa Padre.
Mimi nimepitia kweney tovuti Rasmi ya Dayosisi hiyo Diocesan Priests inaonyesha Jina la mtajwa hapo juu pamoja na Picha yake kwamba ni Padre katika Dayosisi hiyo tangu mwaka 2006.
Ipo picha na jina hilo na hakuna jina lingine linalofananaia na hilo, itoshe tu kusema kuwa ni kweli ni Padre, Sasa tutegee taarifa rasmi ya TEC.
Picha inayoonekana yenye jina hilo ni hii
Pia soma
-

- Mtoto Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita akutwa amefariki na mwili kufungwa kwenye mfuko
- Kifo cha mtoto albino kinataka amri ya Rais sio masikitiko ya Rais
- Tumeshindwa kumlinda Asimwe
- Kufuta mauaji ya albino, ni kutokomeza kabisa Waganga wapiga ramli
- KWELI - Fr. Elipidius Rwegoshora, ambaye ni Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Asimwe Novath, ni Padri katika Jimbo la Bukoba
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
- Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath