Tovuti ya 50 Cent yaipost video ya Diamond Platnumz na Ne-Yo

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Diamond Platinumz ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Mtanzania video yake kuwekwa kwenye tovuti ya msanii wa Kimarekani 50 Cent. Tovuti hiyo thisis50.com iliandika "Checkout Tanzania awards winner, Diamond Platinumz new video,"Marry You" featuring Ne-Yo"


 
Kamnunua 50 c unajua uyo ni mzee wa janja janja
 
Kwa maneno mengine ni kwamba hata mtu mzima 50 anatambua kazi za simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,big up sana mnyama,kaza buti mwana ingawa kuna wanga wamenuna hapa
 
Good work, go on son of the land of Kilimanjaro.
 
Hii nyimbo ingekuwa nzuri mond ndo amhetoka mazima sema nyimbo haikuwa poa sana
 


What's your point, wewe inakusaidiaje? Mtuhumiwa huyu na hafai kwa taifa letu. Nimezitupa cd zake zote baada ya kupata taarifa za ukweli juu ya upunda wake.
 
What's your point, wewe inakusaidiaje? Mtuhumiwa huyu na hafai kwa taifa letu. Nimezitupa cd zake zote baada ya kupata taarifa za ukweli juu ya upunda wake.

Hizi lawama na hasira ungeenda kumporomoshea 50 huyo mbongo mwenzio unamuobea tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…