njia ya saada
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 320
- 216
Ni mradi unaohusiana na kuwepesisha mafunzo ya hukumu mbali mbali ya Uislamu kwa lugha mbali mbali, kwa lengo la kueneza Uislamu ulio sahihi kwa waislamu. Mradi huu unajumuisha kitabu chenye picha kuhusu hukumu mbali mbali za Uislamu, ndani ya kitabu hiki kuna milango mitano nazo ni: a) Twahara b) Swala c) Funga d) Zakka e) Hijja.
Kitabu hiki kimekokotezwa na sherehe iliyounganishwa na dalili mbali mbali na picha ili kumuwepeseshia msomaji ufahamu wake na utekelezaji wake. Mradi huu kadhalika unajumuisha video zenye kusherehesha milango mitano iliyotangulia. Kama ulivyo mradi huu vile vile na tovuti katika kila lugha katika lugha zilizochaguliwa katika mradi huu pamoja na vyombo vingine vya habari vya kisasa, pamoja na Cd zinayobeba mada zote hizi.
Tovuti ya fiqhi ya ibadah yenyepicha zilizochorwa
www.al-feqh.com

Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa - nguzo za uislamu
Tovuti ya Al-Fiqh inaelezea sheria za Kiislam kama ilivyofunuliwa katika Quran na Sunnah. Inaonyesha Sheria ya Kiislamu kwa Matendo ya ibada kama vile swalah, Zakat, funga, Hajj, na nguzo za uislamu. Katika al-Fiqhi unaweza pia kupata vitabu vya Kiislamu, sauti na video,fatwaa
www.al-feqh.com