Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Salaam wakuu,,,,,katika pitapita yangu ndani ya mtandao nimekutana na hii:www.policeforce.go.tz.Kwa kiasi fulani ni nzuri...Hongera[/url] IGP Mwema kwa kuianzisha tovuti hii ambayo kwa kiasi fulani inajitosheleza...cha msingi ni kuiendeleza na kuifanyia 'updates' mara kwa mara.
Tovuti hii ya geshi la polisi ina matatizo/upungufu kibao. Nashawishika kusema kuwa imetengenezwa na mtu anayejifunza kazi. Ukiacha tatizo la rangi ambazo hazi reflect rangi halisi ya jeshi (cooperate color), pia layout yake haijakaa vyema. Taarifa hazijawa formated kwa umakini na navigation ya pages siyo user friendly.
Hata hivyo ni hatua nzuri kwa jeshi. Nimatumaini yang itaboreshwa kadri siku zinavyoenda ikiwa ni pamoja na ku-update na kuweka data nyingi zaidi.
mbona huu uchafu haufunguki jamani, nimejaribu mara kibao kuifungua hii web, lakini inakataa. au ndo wako kwenye marekebisho?
mbona huu uchafu haufunguki jamani, ?