Kilongwe JF-Expert Member Joined Feb 7, 2008 Posts 423 Reaction score 116 Dec 13, 2010 #1 wadau,Timu nzima ya AfroIT kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Afya,tupo mbioni kukamiliusha hatua ya kwanza ya tovuti ya afya.Tovuti ambayo itakuwa inakuletea mambo mablimbali yanayohusu afya. www.tanzmed.com Hivyo,kwa sasa bado tunahitaji maoni yako katika kufanikisha hili.
wadau,Timu nzima ya AfroIT kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Afya,tupo mbioni kukamiliusha hatua ya kwanza ya tovuti ya afya.Tovuti ambayo itakuwa inakuletea mambo mablimbali yanayohusu afya. www.tanzmed.com Hivyo,kwa sasa bado tunahitaji maoni yako katika kufanikisha hili.
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 290 Dec 13, 2010 #2 thanx kwa taarifa njema
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,553 Reaction score 2,380 Dec 13, 2010 #3 mnaweza kuweka jina lililo karibu na wananji? tanzmed imeekaa kikoloni sana, athawaiz ni bonge ya aidia itatusaidia wengi.
mnaweza kuweka jina lililo karibu na wananji? tanzmed imeekaa kikoloni sana, athawaiz ni bonge ya aidia itatusaidia wengi.
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,646 Dec 13, 2010 #4 member no 1 ni mimi kwani hapo kweli mmegusa jamii kisawa sawa kwani hili haina cha nini wala nani thenkyuuuuuuuu!!!!!!!!!!
member no 1 ni mimi kwani hapo kweli mmegusa jamii kisawa sawa kwani hili haina cha nini wala nani thenkyuuuuuuuu!!!!!!!!!!