Secretarity ya ajira imezindua tovuta ilikuwezesha matangazo ya kazi kufikia watu kwa haraka na pia kupunguza mianya ya rushwa na kuwezesha kupata watumishi wenye sifa stahiki.Kwani nafasi zote za kazi zitakua zikipatikana humu.
Tovuti hiyo iliyozinduliwa jana inaitwa
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
vijana mmehaswa kuitumia kilasiku ili kuwawezesha kupata kazi.