Diff C9
Member
- Feb 12, 2021
- 64
- 64
Habari zenu wanajukwaa na ma great thinker wa JF. Matumaini yangu ni kwamba tunaendelea salama, kwa waliopatwa na matatizo nawaombea kwa m/Mungu awasaidie.
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu, imekuwa jambo la kawakda kwa tovuti nyingi za kibongo kutokuwa na structure, organization na functionality nzuri. Baya zaidi limekuja hivi punde baada ya websites hizo kudukuliwa mara kwa mara tena mdukuzi akiomba alipwe pesa.
Leo baada ya kusikiliza tangazo la shule iliyopo Iringa ya kawawa Secondary nikaamasika kuingia kwenye tovuti yao lakini hiki ndicho nilichokumbana nacho