Kilio cha Wanasoko nchini kimesikiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) baada ya leo kuanza kuweka habari zake kwenye tovuti ta mtandao huo ambayo ni Home | Tanzania Football Federation | Tanzania Football Federation.
Aidha, kwa wale wapenda soka msisite kupita kuangalia lolote linalotokea kwa upande wa michezo nchini.
Asante.