Tovuti ya Yanga Sports Club vipi?

Tovuti ya Yanga Sports Club vipi?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,248
Reaction score
13,244
Takribani miaka miwili sana chama la wananchi bado tovuti yake imekwama, fanyeni kuirekebisha. Pia andikeni majina ya wachezaji kwenye jezi zenu.. Wapi Dr. Tiboroha?
 
Mtani pale benchi kuna Milioni 6 [Vincent Bossou] zinateketea kila mwezi.. Timua huyo jamaa, ili muweze kupata hela ya kudesign na kuendesha website ya timu.. Hivi mtani kwani nanyi hampendi kua na website bora kama .. www.simbasports.co.tz/ ..
Wakati ni wako... Chukua hatua.
 
Mtani pale benchi kuna Milioni 6 [Vincent Bossou] zinateketea kila mwezi.. Timua huyo jamaa, ili muweze kupata hela ya kudesign na kuendesha website ya timu.. Hivi mtani kwani nanyi hampendi kua na website bora kama .. Simba Sports Club | Simba Sports Club ..
Wakati ni wako... Chukua hatua.

pia kuna Agban kacheza England huyu anashindwaje Tanzania?. Yanga bhana!!!!
 
Mtani pale benchi kuna Milioni 6 [Vincent Bossou] zinateketea kila mwezi.. Timua huyo jamaa, ili muweze kupata hela ya kudesign na kuendesha website ya timu.. Hivi mtani kwani nanyi hampendi kua na website bora kama .. www.simbasports.co.tz/ ..
Wakati ni wako... Chukua hatua.

Mikia Bwana Mbona mnakiherehere hivyo mambo ya Yanga yanawahusu nini? Fanyeni yenu bana au kile kichapo bado kinawauma nini? Website yenyewe mmeanza juz wakat yetu hatakama haina update lakin ina miaka chungu mzima....Mikia ninyi
 
Si kila kitu ni cha kuweka ushabiki.. Tumewaruhusu kuiga.
 
Nyani haoni kundule huona la mwenzake. 'Yanga' wafanye hima maana hata Nd'aw naye anaigharimu sana klabu.

CC. sembo (aione mu kichwa chake).

"Yanga" walivyomakini na mambo yao, waliona wanamsajili vipi mchezaji ambae hajafanya kitu chochote cha maana popote pale Duniani.. Ndo mana wakampa mkataba wa miezi 3 tu.. ili kama akifanya vyema wampe mkataba mrefu.. yaliyotokea nadhani mashabiki wa " Yanga" tumeona.. Huyu kashafunguliwa mlango wa kutokea.

.. LAKINI...

"Simba" bhana?! Kuna tapeli flani alivamia Makao Makuu ya "Simba'.. akiwa na picha kama 3 za jamaa mwenye sura ngumu sana, mwili uliojengeka vyema, mweusi tiiii.. akiwa na "living legend" Drogba. Huyo tapeli, akawaambia, huyo jamaa ni mkali sana pia yupo Sokoni, alafu pia ni "Wakimataifa" kama timu ilivyo.. viongozi wa "Simba" hawakujiuliza..
1. Hizi picha ni za mwaka gani?.. Pia katika hiyo mechi kiwango chake kilikuaje?.. [maybe mpiga picha alikua katika kazi maalumu.
2. Je huyo mchezaji kiwango chake kikoje hivi sasa?
Wazee "wakimataifa" wakapagawa, wakampa mkataba wa miaka 2 + madolari ya kutosha Na mshahara wa 6m kila mwezi.
Sasa hivi huyu jamaa "wakimataifa" anafanya kazi ya kupasha joto benchi la timu ya Kimataifa.
 
Last edited by a moderator:
Takribani miaka miwili sana chama la wananchi bado tovuti yake imekwama, fanyeni kuirekebisha. Pia andikeni majina ya wachezaji kwenye jezi zenu.. Wapi Dr. Tiboroha?

Mimi Ni Mgeni Hapa Kwenu Tanzania Hivi Yanga Ni DUDU Gani?
 
Si kila kitu ni cha kuweka ushabiki.. Tumewaruhusu kuiga.

Suala la Website Nani kamuiga mwenzake? Halaf inawauma sana kwa Busou kukaa bench maana mnaitamani hela anayolipwa na mnajua Fika kuwa kwenu mshahara wake unalipa wachezaji mnaowaita nyota wenu watatu!! Yanga inafanya Vizuri na sio kila mchezaji aliyesajiliwa anacheza ndo maana ya Sub na Huwez mtoa mtu kama anacheza vizur ukaingiza mwingine kisa Umemsajili Hela nyingi.... Wakat ukifika atacheza. Na muelewe yule ni nahodha msaidiz wa Togo Chin ya Adebayo na Yuko Kikos cha kwanza....

Hivi yule jamaa alivaa viatu vikongwe siku ile Anacheza timu Ya Taifa? Bado yuko simba?.. Mlimpa mkataba wa miez mingapi?
 
Swali: Hivi yule jamaa alivaa viatu vikongwe siku ile Anacheza timu Ya Taifa?
Jibu: Hayupo timu ya Taifa

Swali: Bado yuko simba?
Jibu: Ndio bado yupo Simba

Swali: Mlimpa mkataba wa miezi mingapi?
Jibu: Tulimpa mkataba wa miezi 3, ambao utaisha Disemba baaada ya mechi ya Mtani Jembe 3.. Nadhani atatuaga fresh.
 
Hasante sana Kwa majibu yako Mazuri Simba oyeeee
 
Swali: Hivi yule jamaa alivaa viatu vikongwe siku ile Anacheza timu Ya Taifa?
Jibu: Hayupo timu ya Taifa

Swali: Bado yuko simba?
Jibu: Ndio bado yupo Simba

Swali: Mlimpa mkataba wa miezi mingapi?
Jibu: Tulimpa mkataba wa miezi 3, ambao utaisha Disemba baaada ya mechi ya Mtani Jembe 3.. Nadhani atatuaga fresh.

Asante sana Mkuu kwa huu uwazi na ukweli.
 
Mtani pale benchi kuna Milioni 6 [Vincent Bossou] zinateketea kila mwezi.. Timua huyo jamaa, ili muweze kupata hela ya kudesign na kuendesha website ya timu.. Hivi mtani kwani nanyi hampendi kua na website bora kama .. www.simbasports.co.tz/ ..
Wakati ni wako... Chukua hatua.

Kumbe bado mnamatumaini na timu yenu! 😁😁😁
 
Takribani miaka miwili sana chama la wananchi bado tovuti yake imekwama, fanyeni kuirekebisha. Pia andikeni majina ya wachezaji kwenye jezi zenu.. Wapi Dr. Tiboroha?

Majina ya nini kwenye Jezi....? Nani hamjui Yondani, Coutinho, Ngoma.....?
 
Back
Top Bottom