Tovuti za pono na madhara yake kwa vijana

Tovuti za pono na madhara yake kwa vijana

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
863
Reaction score
408
Utafiti uliofanywa huko Italia umeonyesha kuwa kutembelea website za pono kuna madhara yake
soma hii link:
POPOTE TZ
 
mwonyesheni funzadume
yeye jukwa lake ni la mambo ya kikubwa tu.
 
Madhara ni makubwa mno, maana hata staili zinazotumika huko na uchafu mwingine mwingi ambao watanzania wengi tunapenda kucopy kutoka kwenye hizo website na hiyo mikanda, siyo real. Wenzetu wanautaalum wa kutosha wa kuchezesha picha na ikaonekana kana kwamba kuna tendo fulani linafanyika kumbe ni picha tu zimetengenezwa, wakati sisi watz tukiona tunafikiri huo ndiyo ufundi, matokea tunacopy na kufanya mambo ya ajabu na aibu kabisa ktk jamii tukidhani ni maendeleo au ujanja, ujinga mtupu!

Kwa kweli tunahitaji kubadilika.
 
Back
Top Bottom