hopetumaini
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 528
- 316
Habari za humu wakubwa, natumaini mnaendelea vyema na kampeni za siasa.
Shida yangu kubwa naomba ushauri wa kitaalamu kuhusu gari tajwa hapo juu. Nataka kununua townace kwa ajili ya kufanyia biashara ya gesi. Sijui ipi itafaa zaidi kati ya Townace automatic au manual.
Kwa nionavyo mimi gari za manual hufaa zaidi kwa kazi za mizigo lakini nimepata ushauri hata townace automatic inapiga mzigo poa tu na hakuna shida. Sasa sielewi nichukue ipi, nikaona nilete humu kuna wajuzi zaidi wa magari.