Money Bags
Senior Member
- Jun 22, 2012
- 165
- 747
Mkuu hiyo 1HDT uliipata kwa shilling ngapi ikiwa used ya DubaiHi
Husika Na Kichwa Cha Habari
Nauza Toyota 1HZ Engine na Gear Box Yake Tsh Million 8,500,000 /=
Engine nzima haina tatzo lolote ilikua kwenye Land Cruiser GX 105 nikabadilisha nikaweka 1HDT cz nimetaka niwe na turbo na mwendo.
Engine & Gear Box Ipo Home, Mikocheni, Dar es Salaam for viewing we can arrange. Photos Attached Below
Mkuu hiyo 1HDT uliipata kwa shilling ngapi ikiwa used
Info zake? Isha fanyiwa overhaul? Ilikuwa na Km ngapi? Ilikuja na gari? Au ilibadilishwa, kama ilibadilishwa ni ya Dar au Dubai au Japan?
Ya Hapa Hapa Dar…..Nlinunua Gari Kwa Mzee Mmoja Hivi Mtunzaji Sana. And So it was in mint condition. Gari Namba BTC. Engine Ya 1HDT nlipata kwa 12 M hapa hapa bongo.