Toyota Allex Vs Run X

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Kwa muonekano haya magari kama yanafanana,ila nalikubali sana Allex,sijui utofauti wa haya magari upoje...lipi bora zaidi?
Ushauri wenu muhimu sana mana msimu wa korosho huooo unakuja visenti vya kujazia mfuko vitapatikana.
 
Niliwahi kupewa lift kwenye hiyo runx imetulia sana road halafu inachanganya haraka. Ipo comfortable sana kwa ndani. Sioni tofauti kubwa sana kati ya allex na runx nadhani ni body design na engine capacity. Ngoja wataalam waje waongeze
 
unapoongelea runx na unapoongelea alex

hapa unaongelea gari moja ila zilitengenezwa kwa kulenga makundi tofauti those who love that sport feeling and those who like smooth and comfortable ride

runx ilitoka kama standard version na alex ikatoka ikiwa na udambwi dambwi yani for those who like smooth and comfortable ride

ni kama crown athlete kwa wanaopenda sport then crown royal kwa wale wa luxury
 
Na Kwa bei zikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…