Toyota Alpha niongeze vifaa vipi ili isiwe inatikisika ikipaki.

Toyota Alpha niongeze vifaa vipi ili isiwe inatikisika ikipaki.

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Hello wanajukwaa.

Nina Toyota Alpha huwa natoka nayo mara kadhaa niki

Huwa ni my choice hasa pale napoenda sehemu na watoto ila huwa wanapenda kuruka ruka hasa pale nikiwa nimepaki kwenye foleni, kwenda kuwanunulia juice dukani, n.k.

Hali ya kuruka ruka kwao inaleta mgandamizo na kuifanya alpha iwe inatikisika.

Ni namna ipi bora naweza kutatua hili ?
 
Ukitaka isitikisike, kwa kuwa umegundua wanaotikisa ni watoto shuka nao, unaposhika.

Ama toa hizo shock up, na coil Spring, uchomelee nondo, ili kuondoa mnepo, hivyo haitatatikisika.

Atoe coil spring suspension na kuweka leaf spring kama za Hilux [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom