Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Bei ni m12 imetembea km 51 elfu ni model ya Mwaka 2000 Rangi yake ni golden light Imeingia nchi mwaka 2013 ilikuja na km 45 elfu picha nitakuja weka mwenye hitaji aje PM....nitampa namba aje kuiona...jinsi ilivyo haina tofauti na gari za kwenye Yard.... ina mng'ao ule ule... haijawahi kukaa kwenye parking zenye Jua....hadi ile harufu ya upya haijaisha am serious....
Pia mwenye Yard nahitaji Gari nzuri ambayo haijakaliwa na mtu wa Bongo kama
Harrier 2004
Nissan x-Trial isiwe chini ya Mwaka 2004
Noah isiwe chini ya Mwaka 2006
Ipsum Isiwe chini ya Mwaka 2006
au Wish nayo isiwe chini ya Mwaka 2006
Nataka Gari Mojawapo kati ya Hizo...
Pia mwenye Yard nahitaji Gari nzuri ambayo haijakaliwa na mtu wa Bongo kama
Harrier 2004
Nissan x-Trial isiwe chini ya Mwaka 2004
Noah isiwe chini ya Mwaka 2006
Ipsum Isiwe chini ya Mwaka 2006
au Wish nayo isiwe chini ya Mwaka 2006
Nataka Gari Mojawapo kati ya Hizo...