Thelionden
Senior Member
- Apr 7, 2018
- 165
- 160
Wakuu habari za majukumu ya siku nzima?
Wadau ningependa kujua ubora wa hizi gari katika nyanja tofauti tofauti kama vile:-
1. Ubora wa engine, body na gear box.
2. Upatikanaji wa spare
3.kuhimili mikiki mikiki rough roads japo sio mara kwa mara.
4. Confortability
5. Ustahimilivu wa safari ndefu
6. Stability barabarani
Picha mbili za kwanza ni premio na mbili za mwisho ni avensis.
Natanguliza shukrani zangu.