Thelionden
Senior Member
- Apr 7, 2018
- 165
- 160
Premio ni chaguo la wengi kutokana na spare parts tofauti na Toyota avensis kwasabb hii gari CC zake ni kubwa kidogo 1990 CC .
Avensis ni gari ya kibabe Kwenye Safar ndefu za mikoani pia inahitaji service ya uhakika kutokana na engine yake ya 1AZ

Kamata Avensis hutojuta
Mkuu....
Mimi Sina la kukushauri, zaidi nimekuja hapa kwaajili ya kukupongeza tu..[emoji2760]
Yap...Lakini 1AZ iko hata kwa premio
Yap...
Premio zipo yenye CC 1990 na CC 1490
Na 1790 zipoYap...
Premio zipo yenye CC 1990 na CC 1490
Tupe sababu mkuu