Cheki vyote pamoja na condenser pia?Wana Jamii naomba kwa yeyote anayefahamu anisaidie. Niliagiza toyota brevis toka Japan tatizo AC haileti ubaridi, compressor inazunguka, gas imo ya kutosha,nimepewa ushauri na mafundi kuwa compressor imekufa inatakiwa kubadilishwa ila bado sijaafiki, je kuna yeyote aliyewahi kupatwa na tatizo hili anisaidie jinsi ya kulitatua?
NimechekaCheki vyote pamoja na condenser pia?
Au kama upendi kutengeneza tengeneza, niuzie
Huo ndio ushauji bora zaidi. Wengine huwa hawapendi kwenda kufunguliwa vitu vya magari yao brand new used.Nimecheka
Wana Jamii naomba kwa yeyote anayefahamu anisaidie. Niliagiza toyota brevis toka Japan tatizo AC haileti ubaridi, compressor inazunguka, gas imo ya kutosha,nimepewa ushauri na mafundi kuwa compressor imekufa inatakiwa kubadilishwa ila bado sijaafiki, je kuna yeyote aliyewahi kupatwa na tatizo hili anisaidie jinsi ya kulitatua?
Nashukuru sana, ukiwasha AC unasikia mlio unabadilika na kuwa kwenye kawaida gari ikiwashwa Ac,je bado itakuwa compressor ni mbovu?Nenda wapime compressor ili ujue kama ni nzima au tayari imeharibika, compressor yaweza kuzunguka lakini ikawa haifanyi kazi/imekufa. Kupima compressor hakufanyi gari ichafuke wala hawafungui vitu vingi.
Either way, safisha mfumo mzima wa air conditioning, pipes, filter etc then angalia kama kuna slow leakage au vipi. Then jaza gas na tumia, utajua kama shida ni compressor, filter au nini.
Sijaelewa swali lako, ukiwasha ac mlio unabadilika? Compressor inapiga kelele au nini shida?Nashukuru sana, ukiwasha AC unasikia mlio unabadilika na kuwa kwenye kawaida gari ikiwashwa Ac,je bado itakuwa compressor ni mbovu?
Yaani ukiwasha AC kila kitu kinakwenda sawa kasoro kutoa baridi, AC ikiwashwa inatumia nguvu ya engine so ninasikia mabadiliko ya mlio wa engine kama inasuma kituSijaelewa swali lako, ukiwasha ac mlio unabadilika? Compressor inapiga kelele au nini shida?
Mtafute huyu fundi, 0652169818, yupo Dar mtaa wa Lindi, karibu na geti la mwendokasi zinapoingia daladala za Temeke. Atafanya test ya gas, compressor na evaporator.Yaani ukiwasha AC kila kitu kinakwenda sawa kasoro kutoa baridi, AC ikiwashwa inatumia nguvu ya engine so ninasikia mabadiliko ya mlio wa engine kama inasuma kitu
Nashukuru sanaMtafute huyu fundi, 0652169818, yupo Dar mtaa wa Lindi, karibu na geti la mwendokasi zinapoingia daladala za Temeke. Atafanya test ya gas, compressor na evaporator.
Ila kama hamna ubaridi, huenda gas imeisha au compressor inazunguka lakini ina tatizo. Muone jamaa atakusaidia.
Wana Jamii naomba kwa yeyote anayefahamu anisaidie. Niliagiza toyota brevis toka Japan tatizo AC haileti ubaridi, compressor inazunguka, gas imo ya kutosha,nimepewa ushauri na mafundi kuwa compressor imekufa inatakiwa kubadilishwa ila bado sijaafiki, je kuna yeyote aliyewahi kupatwa na tatizo hili anisaidie jinsi ya kulitatua?
Ndiyo kabisa.compressor ina engage.yaani ukiwasha gari halafu ukiwasha AC utasikia mlio wa engine unaongeza na feni kuzungukaJe Compressor ina engage? Huwa iki engage inatoa kamlio kama kugonga hv.
Nina mashaka unayosema inazunguka. Huenda ni ile wheel ya juu inazunguka tu bila ku engage clutch.
Ndiyo kabisa.compressor ina engage.yaani ukiwasha gari halafu ukiwasha AC utasikia mlio wa engine unaongeza na feni kuzunguka
Huenda compressor ika-engage lakini ikawa haina nguvu, au imekufa. Mara nyingi kama compressor imekufa/haina nguvu gari ikiwa silencer AC haileti ubaridi, hadi ukanyage wese, au uanze kutembea.Je Compressor ina engage? Huwa iki engage inatoa kamlio kama kugonga hv.
Nina mashaka unayosema inazunguka. Huenda ni ile wheel ya juu inazunguka tu bila ku engage clutch.