Toyota Brevis Itabaki na Wanaume tu

Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
wewe watu wamehamia crown ambako ni ghali kuliko hilo li BREVIS lako!
 
Huo ni uvulana wala sio uanaume...kuna tofaut kubwa sana kati ya mvulana na mwanaume
 
Mbona wengine wanashindwa kuelewa, issue ni brevis kula mafuta na spare ghali, siyo kufanananisha brevis na gari nyingine au cc, je mbona wengi wanalalamika brevis ni ghali kuitumia,
cc2990 ni ghali kuihudumia mafuta!?.. Brevis haili mafuta wala nini, umasikini wenu tu kupenda vitu vikubwa msivyoweza!!..
kuna Vitz zina cc990/950 nunueni!!...
Watu wanauza Brevis kutokana na kusitishwa utengezwaji wake, ya mwisho ni 2005 nadhani. Wakati huo kuna mizigo mipya kama Clown athlete, Nissan Fuga, Subaru Imprezza na Legacy unadhani watabakia kwenye Brevis zinazokuwa outdated!.. Leo hii Toyota warudishe production uone matokeo!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…