Toyota Brevis Itabaki na Wanaume tu

Uwezo unawaruhusu, poa mahitaji na mapenzi yao. Wala si kwasababu ya kitaka kuonekana wanaume.
Pia elewa, nimesema matumizi ya kifala sasa hao wanasababu zao kimsingi kabisa wala si kwasababu za kuinekana wanatumia
Wenye brevis hawana sababu za msingi kuwa na brevis.na wewe mwenye ist. raum.spacio.including all walking babies sababu yako ya msingi ni ipi hasa kama si kukimbilia Mafuta ya elfu kumi kumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cc 2500 ndio za kukimbia? Watu wapo mjini wana CC 6000
Hahahah watu wanaongea tu, majority ya ma Don hapa town wanapush vyombo vya cc2500-5000 na walalahoi wengi wanaminyana kwenye juisi za miwa humo cc990-1800. Mwisho wa siku kila mtu na upenzi wake, mie niko radhi niende sheli mara kwa mara ila mchuma nao push uwe na mashine ya 6 cylinder inayounguruma kama simba.

Angalia Touareg, Audi suv, benz, bmw, harrier,kluger, crown, mark x ,brevis, mark 2 na VX V8 zilivyo nyingi hapa town wote wanacheza humo kwenye cc2500-5000. Walalahoi ndio wapiga kelele
 
Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
Hivi kumbe Zina mdomo? Hizi gari mwisho zitakula majani sasa
 
Hao ndiyo wanaume waliobaki mjini, sasa mwenye Ist.spacio na vitz wanaitwaje
 
Sio
Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
Sio kweli mkuu unaweza dhibitisha hilooo.??je kwa lita moja inakwenda kilomita ngapi??
 
Sio

Sio kweli mkuu unaweza dhibitisha hilooo.??je kwa lita moja inakwenda kilomita ngapi??
Litre 1 ni standard kwa kilometre 7 kwa gari nyingi za Toyota. Ikienda chini ya hapo ujue ina walakini.
 
Hahaha wale wapenda fujo sindio wanasemaga 1Jz nzuri kwa ajili ya tunning na makorokoro mengine kama turbo charging sijui. Gari inakuwa na nguvu sana
Ila ni engine nzito sana yani tofauti na 4GR
 
Kama tusi la kimya kimya kwa wenye aina nyingine za magari
 
Mbona povu sana dada.
Take it easy. Life should be fun, better, fuller and richer!

Thank You
 
2500cc ya wajukuu wa Hitler unailinganisha na ya kina Akihito???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…