Toyota Brevis Itabaki na Wanaume tu

Kuna dogo ana hio Aristo *****. Ni bad news!!! Mwanzo alikuwa na Tourer-V 1Jz-gte sahivi kavuta Aristo. Wenye Subaru wanajuta
 
better, fuller and richer! mmeisoma hiyoooooooooooooooooooo
 
Hio si ishapigwa makila kinga. Nmeiona hio beforward nadhani. Ina ma spoiler kama yote ma kit kibao. Yani ikitua town tu unatafta wenye visubaru kuwatoa upepo!
Hahah aisee ina mods za kutosha,yani hio ikiingia mjini ni mwendo wa kujipa safari ndefu huko mkoani huku umetenga hela ya kutosha ya Soda+fines za speed,maana lazima uitoe gundu kwanza.

Hahah Subaru hapo lazima no. Isomeme
 
Kuna dogo ana hio Aristo *****. Ni bad news!!! Mwanzo alikuwa na Tourer-V 1Jz-gte sahivi kavuta Aristo. Wenye Subaru wanajuta
Manina Aristo ukute ni 2jz-gte afu mods za kufa mtu kile ni chuma balaa,kule Kisongo kuna mwana alikuja na Aristo alikua anaijambisha balaa jamaa wa Subaru na Mitshubishi wana mchekiiiiiiii.

Mtu akisema wajapan hamna kitu kwny magari hua sometimes nashangaa sana aisee.
 
Raha ya jamiiforum kila mtu anakuwa na ndinga lipokuja suala la magari, nafaham wapo ila sio wote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe si umeinvest kwny siasa,nenda kapige story na polepole akupe story za shughuli ya landcruiser zinavyopiga kazi porini mkienda kuomba kura.
 
Japan wana Engine kubwa ila zikiwa stock zinaonekana kawaida sana. Ila ikipigwa mods kidogo tu inakuwa Bad news, unaeza ukaeka turbo tu watu wakabaki midomo wazi engine ile ile.
 
Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa hivi zinauzwa million 5-6.... Ni post ya kujifariji tuu.... Ukitoka ubungo mpaka shekilango ushapishana kama 5 hivi... Uniform ya taifa[emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
 
Hahah aisee ina mods za kutosha,yani hio ikiingia mjini ni mwendo wa kujipa safari ndefu huko mkoani huku umetenga hela ya kutosha ya Soda+fines za speed,maana lazima uitoe gundu kwanza.

Hahah Subaru hapo lazima no. Isomeme
Hahahah watakuua ma poti
 
Sasa mtu amepata fedha mpaka amenunua gari la zaidi ya 15m anaogopa wese la 2,250/=
 
bora mark x kuliko brevis!! hata kama pesa ya mafuta hainisumbui bado sioni haja ya kwenda kuitupa kwenye old brevis nikaacha mark x ambayo nayo inatumia mawese with better management na production yake still inaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…