Car4Sale Toyota brevis namba D inauzwa 8.5m

Car4Sale Toyota brevis namba D inauzwa 8.5m

Camo97

Member
Joined
Jul 13, 2019
Posts
13
Reaction score
1
Toyota brevis in good condition inauzwa 8.5m Haina tatizo lolote kwa mawasiliano zaidi 0766785325
 

Attachments

  • IMG-20190713-WA0042.jpg
    IMG-20190713-WA0042.jpg
    65.6 KB · Views: 25
  • IMG-20190713-WA0043.jpg
    IMG-20190713-WA0043.jpg
    47.6 KB · Views: 25
  • IMG-20190713-WA0041.jpg
    IMG-20190713-WA0041.jpg
    59.8 KB · Views: 25
  • IMG-20190713-WA0029.jpg
    IMG-20190713-WA0029.jpg
    58.4 KB · Views: 21
Umeitumia miaka mingapi mpaka sasa unaamua kuiuza
Toyota brevis in good condition inauzwa 8.5m Haina tatizo lolote kwa mawasiliano zaidi 0766785325
 
Ongeza boss umeshuka sana gari bado mpya
Namba DAY sio mpya Kuna mtu ana gari DGA alinunua 2015 decemba huu Ni mwaka wa nne. Sasa hiyo itakuwa Ina miaka 6 au 7. Bado mpya kweli...ukiongeza na Ile sifa yake pendwa ya kubugia wese
 
Back
Top Bottom