Wakuu napenda sana kumilik gari hasa caldina
ila nahitaj kujua kat ya caldina ya 2002 na new model ya 2007 ipi bora katika ulaj wake wa mafuta bei show room na engine capacity
NOTE: nikipewa specificationsza 4WD itakua poa sana
Humu utapata majibu ya kila aina,nakushauri uende mahali ambapo kuna garage iliyojirani na hapo unapoishi wewe then utaonana na mafundi magari watakueleza vitu vingi sana na vya maana!