Toyota Cami cc1290 inakula mafuta visivyo

Toyota Cami cc1290 inakula mafuta visivyo

wiztech

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
259
Reaction score
511
Habarini wa kuu nina kigari changu Toyota cami cc1290 wakuu kinakunywa mafuta kama defender nisaidieni wataalam nini cha kubadilisha?
 
Tangu nilipoanza kumiliki gari miaka mingi iliyopota, nimegundua injini na gear box ndiyo kila kitu. Hivyo vitu viwili vikianza tu kuzingua, aisee utalichukia gari mpaka basi.
 
Back
Top Bottom