wiztech JF-Expert Member Joined Apr 20, 2020 Posts 259 Reaction score 511 Apr 17, 2024 #1 Habarini wa kuu nina kigari changu Toyota cami cc1290 wakuu kinakunywa mafuta kama defender nisaidieni wataalam nini cha kubadilisha?
Habarini wa kuu nina kigari changu Toyota cami cc1290 wakuu kinakunywa mafuta kama defender nisaidieni wataalam nini cha kubadilisha?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Apr 17, 2024 #2 We umebadirisha nini?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Apr 17, 2024 #3 1. Oil 2. ATF 3. Plug 4. Coils 5. Fuel & Air Filters 6. Oxygen Sensors 7. Valves 8...
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Apr 21, 2024 #4 Tangu nilipoanza kumiliki gari miaka mingi iliyopota, nimegundua injini na gear box ndiyo kila kitu. Hivyo vitu viwili vikianza tu kuzingua, aisee utalichukia gari mpaka basi.
Tangu nilipoanza kumiliki gari miaka mingi iliyopota, nimegundua injini na gear box ndiyo kila kitu. Hivyo vitu viwili vikianza tu kuzingua, aisee utalichukia gari mpaka basi.