Toyota Cami- Gear box

Toyota Cami- Gear box

gango2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
1,956
Reaction score
2,274
habari

nina kagari kangu 'TOYOTA CAMI' naona kananisumbua Gear box, tafadhari naomba mwenye mawasiliano ya mafundi wazuri wa gearbox, au garage nzuri anisaidie,

Napatikana Dar es Salaam
 
Hizo gari nasikia huo ndo ugonjwa wake
 
habari

nina kagari kangu 'TOYOTA CAMI' naona kananisumbua Gear box, tafadhari naomba mwenye mawasiliano ya mafundi wazuri wa gearbox, au garage nzuri anisaidie,

Napatikana Dar es Salaam
0714 242818 KIBIKI
 
tatizo nini haichange gear? elezea tatito mkuu naweza nikakupa solution hapahapa.
 
tatizo nini haichange gear? elezea tatito mkuu naweza nikakupa solution hapahapa.

ndio kiongozi inashida kwenye kuchange gear, mwanzo nilifikiri ni 'control box' nikajaribu kubadilisha nyingine, lakini naona bado ukitaka kuondoka gari inavutaa ndo inaachia, pia ukiwa unaendesha ina piga less sana hasa inapochange gear.

hivi juzi ilibidi nitumie namba 2 kutembea maana 'D' iligoma kabisa
 
Back
Top Bottom