resonanceiduufu Senior Member Joined Jul 29, 2016 Posts 112 Reaction score 62 Feb 27, 2017 #1 Habari za Asubuhi ndugu zangu? Inazimika engine ikipata joto, na haiwaki tena hadi engine ipoe! Tafadhali naomba msaada!
Habari za Asubuhi ndugu zangu? Inazimika engine ikipata joto, na haiwaki tena hadi engine ipoe! Tafadhali naomba msaada!
Brainze11 Senior Member Joined Sep 2, 2012 Posts 173 Reaction score 56 Feb 28, 2017 #2 resonanceiduufu said: Habari za Asubuhi ndugu zangu? Inazimika engine ikipata joto, na haiwaki tena hadi engine ipoe! Tafadhali naomba msaada! Click to expand... Hapo badili crank shaft sensor, ndo hua na tabia hiyo
resonanceiduufu said: Habari za Asubuhi ndugu zangu? Inazimika engine ikipata joto, na haiwaki tena hadi engine ipoe! Tafadhali naomba msaada! Click to expand... Hapo badili crank shaft sensor, ndo hua na tabia hiyo
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 Feb 28, 2017 #3 angalia pia cooling system. yaani hose, radiator, pamoja na kifuniko cha radiator, reservoir ya coolant. Pia badilisha maji au coolant yote.
angalia pia cooling system. yaani hose, radiator, pamoja na kifuniko cha radiator, reservoir ya coolant. Pia badilisha maji au coolant yote.
A Agera 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 4,088 Reaction score 4,226 Feb 28, 2017 #4 daihatsu inakusumbua
resonanceiduufu Senior Member Joined Jul 29, 2016 Posts 112 Reaction score 62 Feb 28, 2017 Thread starter #5 Asante!