5m nakupa chap tufanye biashara
weka namba za simu
ilikuwa inaendeshwa na muhindi au mbongo?
nilishawahi kufanya biashara ya aina hiyo ilikuwa majanga, unless kuwepo na some form of guaranteeMbongo
nilishawahi kufanya biashara ya aina hiyo ilikuwa majanga, unless kuwepo na some form of guarantee