Toyota cami

Toyota cami

John kisomo

Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
22
Reaction score
40
Nahitaji kujua uimara wa toyota cami, kwenye safari ndefu inakuaje, engine , upatikanaji wa vipuli na matumizi yake ya mafuta.
Nahitaji kununua haraka
 
habari yako mkuu, CAMI ni moja ya magari magumu sana ingawa watu wengi hawapendi show yake! kifupi vipuri havina shida vipo vingi sana! na gharama zake ni za kawaida

Spare za CAMI zinaingiliana na TERRIOS kwa hiyo inaongeza faida moja ya Cami. Gari hizi ni nzuri sana, zipo juu kiasi kwamba unaweza tumia mazingira yoyote mjini hata vijijini!

Tatizo kubwa watu wanaogopa CAMI ni gear box, but nikwambie kama unafanya service kwa wakati, hutopata tatizo hili hata siku moja!
 
Back
Top Bottom