Ngosha255
JF-Expert Member
- Mar 29, 2013
- 430
- 512
Nikiwa napita pita Befoward kuusitua umasikini nimekutana na hili gari likanivutia kwa mwonekano wake
Wajuvi wa magari nipeni somo kidgo kuhusu hili gari, linafaa kibongo bongo ukizingatia na hizi kodi za kizalendo?!
Fuel consumption, uimara na upatikanaji wa spare zake au ndio kama european cars
Nb hili sio hybrid maana naona kuna camry hybrid pia!