Toyota Camry 2013

Ngosha255

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
430
Reaction score
512
Nikiwa napita pita Befoward kuusitua umasikini nimekutana na hili gari likanivutia kwa mwonekano wake

Wajuvi wa magari nipeni somo kidgo kuhusu hili gari, linafaa kibongo bongo ukizingatia na hizi kodi za kizalendo?!

Fuel consumption, uimara na upatikanaji wa spare zake au ndio kama european cars

Nb hili sio hybrid maana naona kuna camry hybrid pia!

 
Ukiwa na pesa kila gari zuri huwezi shindwa hudumia. Hiyo gari from Singapole kaa nazo mbali kama ukoma
Na mimi nakazia,used from Singapore na Dubai kuwa nazo makini,nunua used from Japan tu ndio hawana longolongo
Kwamba hapa shida ni from Singapore pekee ukiipata from Japan no shida.

Japo nilihitaji uchambuzi wa gari zaidi ukitoa from wapi maana kwa Befoward naziona ziko na Japan pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…