Toyota Camry manual inauzwa..Bei sawa na bure!!!

justdoit

Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
63
Reaction score
4
Toyota Camry Manual Transmission Model E-SV-40-AEMMK inauzwa kwa bei sawa na bure.Ilikuwa inatumiwa na mwanamke kwa matumizi ya nyumbani.Mawasiliano:0713531152
 
Picha, imetembea kiasi gani, ya lini na bei yake sawa na ya bure itakuwa safi mkuu!!
 
Kwa nini unaiuza bei sawa na bure, unatuogopesha!! more details needed.
 
Toyota Camry Manual Transmission Model E-SV-40-AEMMK inauzwa kwa bei sawa na bure.Ilikuwa inatumiwa na mwanamke kwa matumizi ya nyumbani.Mawasiliano:0713531152

Unaposema Manual unamaana ina miaka inayozidi kumi from the first registration. Au Camry bado wanatengeneza manual?

Pili tupe specifications kama vile km ilizotembea, general body conditions etc.
 
Huo ni mfupa (Toyota Camry) uliomshinda fisi. Je binadamu atuweza?
 
bei sawa na bure?....du inatisha hiyo.

weka photo, na other associated supporting documents for clear attraction of de offer
 
Toyota Camry Manual Transmission Model E-SV-40-AEMMK inauzwa kwa bei sawa na bure.Ilikuwa inatumiwa na mwanamke kwa matumizi ya nyumbani.Mawasiliano:0713531152

si ungeweka picha mkuu ili watu waione. hayo ndio masoko. hivi kusema ilikuwa inaendeshwa na mwanamke kuna maana gani katika kuuza gari? kuwa wao ndio wanaweza kuweka gia vizuri au kuendesha vizuri?
 
anaweza akaweka p[icha na ikawa haina hata injini simnasikia ni bei ya bure mhhh
 
Hii lugha siipendi mimi
eti ilikuwa inatumika na mwanamke
wengi madalali wanaamini mwanamke anatunza gari aaah sijui kweli?
 
Hii lugha siipendi mimi wengi madalali wanaamini mwanamke anatunza gari aaah sijui kweli?

Ni lugha ya kibiashara, wanawake wengi hawaendi rafu, lakini pia hakumbuki kufanyia service magari kwa wakati.
 
Toyota Camry Manual Transmission Model E-SV-40-AEMMK inauzwa kwa bei sawa na bure.Ilikuwa inatumiwa na mwanamke kwa matumizi ya nyumbani.Mawasiliano:0713531152

Mkuu basi andike bei hata kama ni sawa na bure au inategemea na rate ya dola siku inauzwa?Bongo wako wengi wanapanga bei zao kubase kwenye dola duuu uchumi wetu toba...
 
Back
Top Bottom