M Mutu JF-Expert Member Joined Mar 30, 2008 Posts 1,329 Reaction score 49 Jul 15, 2009 #1 Toyota Carina inauzwa iko kwenye hali nzuri ,2000cc, ni ya mwaka 1998 bado haijafanyiwa registration bei ni 7ml. Iko Dar, data upon request.
Toyota Carina inauzwa iko kwenye hali nzuri ,2000cc, ni ya mwaka 1998 bado haijafanyiwa registration bei ni 7ml. Iko Dar, data upon request.
Mau Senior Member Joined Apr 8, 2009 Posts 176 Reaction score 10 Jul 15, 2009 #2 Acha utumbo wewe ulishaona gari linauzwa kwa maneno au ni la wizi. weka picha zake hapa jamvini tuzione au ni leyland unatudanganya carina
Acha utumbo wewe ulishaona gari linauzwa kwa maneno au ni la wizi. weka picha zake hapa jamvini tuzione au ni leyland unatudanganya carina