The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,382
- 2,582
Nje ya mada kabisa. Kwani hapa tuko Japan?Japan Taxi ni hizo CROWN mnazovimba nazo mjini
Comparative studyNje ya mada kabisa. Kwani hapa tuko Japan?
Huko Germany Mercedes S-class,Bmw 7 series,Mercedes E-class zinatumika kama taxi tu.Japan Taxi ni hizo CROWN mnazovimba nazo mjini
Bongo ndo zinatumika kwenye misafaraHuko Germany Mercedes S-class,Bmw 7 series,Mercedes E-class zinatumika kama taxi tu.
Okgari nzuri
Huko Germany Mercedes S-class,Bmw 7 series,Mercedes E-class zinatumika kama taxi tu.
Haaaaaa,haaaaaSehemu gani uliona hiki kitu ujerumani?!
Robustness ya Carina Ti ndio inafanya ziwe zinapendelewa. Zina matumizi mazuri ya mafuta, CC 1500. Pia spea zinapatikana kirahisi sana na kwa bei nafuu.Ukipita kwenye miji mingi hapa Tànzania katika Tax kumi utakazoziona basi angalau 6 zitakuwa ni Toyota Carina.
Je, gari hizi zimetengenezwa maalumu kwa ajili ya biashara hii? Imefika sehemu hata jina la gari zote zinazofanana kimuundo na Toyota Carina zikaanza kuitwa Tax.
Asante.Robustness ya Carina Ti ndio inafanya ziwe zinapendelewa. Zina matumizi mazuri ya mafuta, CC 1500. Pia spea zinapatikana kirahisi sana na kwa bei nafuu.
Chato,Germany.Sehemu gani uliona hiki kitu ujerumani?!
Sasa naanza kuelewa, kwa nini kila dreva Tax anaendesha Carina.engnine ya 5A ni engene ngum sana unaweza itembelea hata km 30k bila kufanyia service na isizngue.
body yake ni pure metal body ngum mno na kitu kingine huwa hazichoki haraka ndani mafuta kidogo unatembea umbali mrefu