profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Carina zimezagaa sana sio favourite Kwa vijana ila ndo garikati ya toyota carina ti vs toyota allex,ipi imetulia
1.ulaji mafuta
2.upatikanaji spare
3.unafuu wa spare
4.kuhimili rafu rodi
5.uimara wa bodi,engine,gbox etc..
Mkuu Carina Ti Ina consumption nzuri sio kama Carina SiCarina ni zuri Kwa body Allex iko sporty zaidi. Carina ina outdated engine compare na Allex na hata ulaji ni mzuri zaidi kwenye Allex
Sawa ila nadhani allex yenye 1.5L ina ulaji mzuri zaidi!Mkuu Carina Ti Ina consumption nzuri sio kama Carina Si