vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,845
- 2,258
Ndugu zanguni natafuta Coaster ya abiri 29, gari itasafiri na watoto wa shule kwa siku tano mbugani Serengeti, baada ya kumaliza ziara gari itarudi kwa kupitia Bunda, Mwanza, Dodoma mpaka Dar, mafuta, huduma za gari na huduma za dreva itakuwa juu yako, naomba tufanye maelewano kupitia - 0734 933 229
Nb: Serengeti gari itapaki siku mbili
Nb: Serengeti gari itapaki siku mbili